Viwango vya kubadili fedha za kigeni Februari 17, 2025

February 17, 2025 11:03 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la rejareja benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa kwa Sh2,529 na kununuliwa kwa Sh2,625, huku katika benki ya NMB inanunuliwa kwa Sh2,620 na kuuzwa kwa Sh2,523. Tofauti ya Sh5.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 17, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks