Viwango vya kubadili fedha za kigeni leo Januari 9, 2025

January 9, 2025 9:48 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link

Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki ya CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Januari 9, 2025.

Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks