Viwango vya kubadili fedha Februari 7, 2025

February 7, 2025 10:15 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la rejareja Dola ya Marekani imeendelea kusali katika kiwango karibu sawa na jana . Katika benki ya NMB Dola inauzwa kwa Sh2,608 na kununuliwa kwa Sh2,513. katika benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa Sh2607 na kununuliwa kwa Sh2,511. Tofauti ya Sh1

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni leo dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 7, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks