Viwango vya kubadili fedha Februari 10, 2025

February 10, 2025 10:36 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la rejareja, benki ya NMB Dola inauzwa kwa Sh2,615 na kununuliwa kwa Sh2,520. katika benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa Sh2613 na kununuliwa kwa Sh2,517.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Februari 10, 2025.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks