Viwango vya kubadili fedha Januari 16, 2025

January 16, 2025 10:13 am · Kelvin Makwinya
Share
Tweet
Copy Link

Katika soko la rejareja Dola ya Marekani imeendelea kubaki katika kiwango kile kile kwa baadhi ya benki kulinganisha na siku mbili zilizopita. Katika Benki ya NMB dola inanunuliwa kwa Sh2,545 na kuuzwa kwa Sh2,450.

Kwenye Benki ya CRDB, Dola ya Marekani inauzwa kwa Sh2,545 sawa na NMB, uku ikinunuliwa kwa Sh2,449 , tofauti ya Sh1 na benki ya NMB.

Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Januari 16,2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Enable Notifications OK No thanks