Zaidi ya wananchi 100,000 wapata chanjo ya Corona Tanzania

August 9, 2021 11:17 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Serikali imesema zoezi la uchanjaji wa chanjo ya Corona aina ya Johnson & Johnson kwaa makundi ya walengwa (watumishi wa afya, watu wenye umri wa miaka zaidi ya 50 na wagonjwa) linaeendelea vizuri.

Hadi kufikia Agosti 7, 2021 watu zaidi 164,500 walikuwa wameshajiandikisha (booking) kwa ajili ya kupatiwa chanjo huku wengine 105,745 wakiwa tayari wameshapatiwa chanjo kufikia tarehe hiyo.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV