Njia sahihi za kutupa barakoa iliyotumika

August 10, 2021 7:47 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni kuhifadhi kwenye ndoo yenye mfuniko.
  • Hakikisha eneo unalotupa haliruhusu barakoa kuzagaa.

Dar es Salaam. Licha ya barakoa husaidia kujikinga na maambukizi ya Corona (Uviko-19), isipotumika vizuri inaweza kuendeleza ugonjwa huo kwenye jamii.

Kwa mujibu wa muongozo wa usalama wa chakula uliotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO), virusi vya corona vinaweza kukaa kwenye sehemu mbalimbali kwa hadi saa 72 kulingana na eneo.

Hivyo ni kusema, endapo mtu atachangamana na barakoa iliyotumika bila tahadhari, anaweza kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

Utupaji wa barakoa zilizotumika bila tahadhari stahiki ni kati ya changamoto ambazo wadau mbalimbali ikiwemo Shirika la Habari la nchini Uingereza, BBC wameziangalia kama tatizo la kimazingira huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likisisitiza barakoa zilizotumika zitupwe mahali salama.

Njia salama za kutupa barakoa ni zipi? Tazama video hii kujifunza:

                       

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
19 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
19 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Nukta TV

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV