Zifahamu kanuni tano za chakula salama kujikinga na Corona
December 10, 2020 8:59 am ·
Rodgers Raphael
Dar es Salaam. Huenda baadhi ya watu wakawa na mashaka kuhusu usalama wa chakula wanachotumia nyumbani katika kipindi cha janga la Corona ikiwemo kupata magonjwa mengine.
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa mapendekezo ya kuzingatia ili kuwa na chakula salama hasa katika kipindi hiki cha ugonjwa huo wa homa ya mapafu.
WHO imeeleza kuwa usafi wa chakula ni muhimu kipindi hiki na kinatakiwa kipikwe vizuri katika nyuzi joto 70 ili kuua vijijidu vya magonjwa.
Mazingira ya uandaaji chakula nayo yanatakiwa kuwa safi ili kuhakikisha hayasababishi maambukizi ya COVID-19.
Tazama video hii kuzifahamu kwa undani unavyoweza kujikinga na Corona wakati ukiandaa chakula nyumbani kwako.
Latest

20 hours ago
·
Fatuma Hussein
TCU yakamilisha awamu ya tatu ya udahili wa shahada ya kwanza 2025/2026

6 days ago
·
Kelvin Makwinya
Mpina akwama mahakamani, ndoto za Urais 2025 zayeyuka

6 days ago
·
Fatuma Hussein
Namna ya kuishi na mtoto mwenye Sikoseli

6 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 15, 2025