Hatua za kuwasaidia walemavu kujikinga dhidi ya Uviko-19

October 13, 2021 2:12 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonyesha kuwa zaidi ya watu bilioni 1 duniani sawa na asilimia 15 wanaishi na ulemavu, huku nusu ya idadi hiyo ikikumbana na changamoto mbalimbali za huduma za afya.

Kutokana na hatari ya janga la Uviko-19, ni muhimu kwa Serikali na jamii kwa ujumla kuchukua hatua mbalimbali za kusaidia walemavu ili waweze kujikinga dhidi ya janga hilo.

Hatua hizo ni pamoja na kuhakikisha urahisi wa kupima na kuchanja chanjo ya Uviko-19 kwa walemavu, vilevile kutoa misaada kwa familia zenye walemavu ambazo zina kipato duni.

Kujifunza zaidi tazama infografia hii:

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
19 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
19 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Nukta TV

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV