Infografia: Ukaribu wa viongozi na wananchi bado changamoto Maswa

February 28, 2022 7:06 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Utafiti wa awali wa ngazi ya kaya wilayani Maswa mkoani Simiyu (Machi 12 – 14 Aprili 2021), uliofanywa na Shirika la Twaweza unaonyesha kuwa wananchi na viongozi katika wilaya hiyo wanakutana mara chache kuzungumza kuhusu maendeleo.

Kwa mujibu wa utafiti huo ni wakazi 3 kati ya 10 ndiyo wamewahi kukutana na kuzungumza na mwenyekiti wa kijiji, huku hali mbaya ikiwa ni kwa mbunge ambapo asilimia 2 pekee ya wakazi wilayani humo wameonana na mbunge wao walau mara moja.

Mara ya mwisho kukutaa na kiongozi wako ilikuwa lini?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Nukta TV

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Nukta TV