Huduma ya barabara bado bado Maswa
February 25, 2022 6:13 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Licha ya barabara kuwa miundombinu muhimu katika kuwezesha usafirishaji wa watu na mizigo, bado wakazi wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu wamesema huduma hiyo haitolewi kama inavyohitajika.
Kwa mujibu wa utafiti wa Awali ngazi ya Kaya, Maswa (Machi – Aprili, 2021) uliofanywa na Shirika la Twaweza umebaini kuwa asilimia 82 ya wakazi wilayani humo hawaridhishwi na huduma ya barabara na miundombinu.
Hiyo inatoa tafsiri kuwa changamoto ya barabara ba do ni kubwa wilayani humo.
Latest

32 minutes ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha za kigeni Machi 17, 2025

2 days ago
·
Lucy Samson
Si kweli: Baking soda, chai ya manjano inatibu Mpox

3 days ago
·
Fatuma Hussein
Zaidi ya nusu ya wakazi Arusha hawana maji safi

4 days ago
·
Lucy Samson
Tanzania yatangaza kumalizika kwa ugonjwa wa Marburg