Infografia: Ahueni madarasa shule za msingi Pangani

March 24, 2022 7:20 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Darasa moja linatumiwa na wanafunzi 49.
  • Baadhi ya shule wilayani humo bado zinakumbana na uhaba wa madarasa.

Dar es Salaam. Wilaya ya Pangani iliyopo Mkoani Tanga ni moja ya wilaya nchini ambazo walau idadi ya madarasa kwa shule za msingi inaridhisha, jambo linalowaweza kuwapata fursa wanafunzi kusoma bila kubanana.

​Kwa mujibu wa Takwimu Muhimu za Elimu (BEST 2020) ziilizotolewa na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) zinaonyesha kuwa darasa moja wilayani humo linatumiwa na wanafunzi 49, uwiano ambao upo juu kidogo ya uwiano wa kitaifa wa darasa moja kwa wanafunzi 45.

Hata hivyo, bado kuna baadhi ya shule wilayani humo zinakumbana na uhaba wa madarasa, jambo linalowechangia kufanya vibaya kwenye masomo na mitihani yao.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Haya ndio maajabu ya iPhone Duo simu mpya kutoka Apple

Nukta TV

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Kitakachotokea IGP, CDF na DCI wasipofika mahakamani kesi ya Lissu

Nukta TV