Hali halisi ya walimu shule za msingi Pangani

April 12, 2022 7:22 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Licha ya baadhi ya shule za msingi katika Wilaya ya Pangani mkoani Tanga kukabiliwa na uhaba wa walimu bado wilaya hiyo ina uwiano mzuri wa walimu kwa wanafunzi.

Kwa mujibu wa takwimu Muhimu za Elimu (BEST 2021) zilizotolewa na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), mwalimu mmoja mwenye sifa wilayani humo anafundisha wanafunzi 51 kiwango ambacho ni juu ya uwiano wa kitaifa wa mwalimu mmoja kwa wanafunzi 45.

​Uwepo wa walimu wa kutosha shuleni unasaidia wanafunzi kupata maarifa na ujuzi kwa wakati.

 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Bei ya mafuta yapaa, petroli yafikia Sh4,057

Bei ya mafuta yapaa, petroli yafikia Sh4,057

Nukta TV

Dk. Ndumbaro: Suala la utawala bora watu wanaliangalia kwa mtazamo finyu.

Dk. Ndumbaro: Suala la utawala bora watu wanaliangalia kwa mtazamo finyu.

Nukta TV

Kama huingizi angalau Sh750,000 kwa mwezi, hii inakuhusu

Kama huingizi angalau Sh750,000 kwa mwezi, hii inakuhusu

Nukta TV