Nini kinafuata baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II

September 9, 2022 1:50 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baada ya Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza kufariki dunia jana Septemba 8, 2022, mtoto mkubwa Mwanamfalme Charles amechukua nafasi yake na kuwa mfalme mpya wa familia ya kifalme ya Taifa hilo la Ulaya.

Malkia Elizabeth wa pili amehudumu katika nafasi hiyo tangu mwaka 1952. kwa sasa Mfalme Charles atasimamia shughuli zote za mazishi ya mama yake na kutangaza siku za mapumziko ya kitaifa kwa familia ya kifalme.

​Baada ya Mfalme Charles nani atafuata katika utawala huo?

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Nukta TV

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Nukta TV

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV