Matokeo darasa la saba mwaka 2022 haya hapa
December 1, 2022 7:12 am ·
Mwandishi
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2022.
Matokeo hayo yametangazwa leo Desemba 1, 2022 na tayari yameshapakiwa katika tovuti ya baraza hilo www.necta.go.tz.
Mtihani wa darasa la saba ni hatua muhimu katika safari ya elimu ya sekondari na hatimaye elimu ya juu nchini.
Tutakuletea undani wa matokeo yote hayo hivi punde yaliyochambuliwa kwa kina zikiwemo shule 10 bora na wanafunzi waliotikisa mwaka huu.
Latest

6 hours ago
·
Lucy Samson
Serikali yawaita wahitimu wa kidato cha nne kubadili tahasusi, chuo

12 hours ago
·
Kelvin Makwinya
Idara ya Uhamiaji Tanzania yatahadharisha umma na utapeli wa ajira

13 hours ago
·
Fatuma Hussein
Si kweli: TRA wametoa matokeo ya usaili wa nafasi za kazi

13 hours ago
·
Lucy Samson
Bei ya petrol, dizeli yapaa miezi minne mfululizo