Matokeo ya darasa la saba 2024 haya hapa

October 29, 2024 2:57 pm · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link

Arusha. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Oktoba 29, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani ya darasa la saba kwa mwaka 2024 huku ufaulu wa jumla ukiongezeka kwa asilimia 0.29 kulinganisha na mwaka 2023.

Bonyeza hapa kuona matokeo ya darasa la saba 2024

Enable Notifications OK No thanks