Nchi 10 zilizoongoza kuleta watalii wengi Tanzania mwaka 2022

March 27, 2023 1:38 pm · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kwa mujibu wa takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu za mwaka (High Frequency Data), idadi ya watalii walioingia nchini mwaka 2022 ilikuwa 1.45 milioni ikiongezeka kutoka 922,692  iliyorekodiwa mwaka juzi.  

NBS imeeleza kuwa mwaka jana, Kenya ndiyo iliongoza kuingiza watalii wengi zaidi nchini ikifuatiwa na Burundi, Marekani na Ufaransa.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
21 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
21 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Nukta TV

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Nukta TV

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

Nukta TV