Wazazi wanavyowapambania wanafunzi kupata chakula shuleni
April 27, 2022 11:14 am ·
Mwandishi
Pangani/Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Pangani mkoani Tanga wamekuwa mstari wa mbele kuchagiza utoaji wa chakula mashauleni ili kuwapatia wanafunzi nguvu za kusoma ili kufaidika na elimu wanayopata.
Wanachangishana fedha ili kuwawezesha wanafunzia watoto wao kupa chakula shuleni na kuwalipa wapishi. Wanafanya hizo ili kuwaongezea ufanisi darasani ili watimize ndoto zao.
Similar News
ai.nukta.co.tz/discover →
/
Masoko
ai.nukta.co.tz/finance →
26 May, 2026 · TZS
Market Movers
ai.nukta.co.tz/finance →26 May, 2026