Infografia: Ahueni madarasa shule za msingi Pangani

March 24, 2022 7:20 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link
  • Darasa moja linatumiwa na wanafunzi 49.
  • Baadhi ya shule wilayani humo bado zinakumbana na uhaba wa madarasa.

Dar es Salaam. Wilaya ya Pangani iliyopo Mkoani Tanga ni moja ya wilaya nchini ambazo walau idadi ya madarasa kwa shule za msingi inaridhisha, jambo linalowaweza kuwapata fursa wanafunzi kusoma bila kubanana.

Kwa mujibu wa Takwimu Muhimu za Elimu (BEST 2020) ziilizotolewa na Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) zinaonyesha kuwa darasa moja wilayani humo linatumiwa na wanafunzi 49, uwiano ambao upo juu kidogo ya uwiano wa kitaifa wa darasa moja kwa wanafunzi 45.

Hata hivyo, bado kuna baadhi ya shule wilayani humo zinakumbana na uhaba wa madarasa, jambo linalowechangia kufanya vibaya kwenye masomo na mitihani yao.

Follow Us on TikTok

Subscribe to Our YouTube Channel

Subscribe

Loading videos...

Loading videos...

Loading videos...

Enable Notifications OK No thanks