Fahamu bei za mazao makuu ya chakula zinazotumika leo Tanzania

November 30, 2022 2:54 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wakazi wa Mkoa wa Lindi leo Novemba 30, 2022 wananunua maharage kwa Sh380,000 kwa gunia la kilo 100. Bei hiyo ndiyo bei ya juu kabisa nchini kwa zao hilo la chakula.

​Kwa mujibu wa bei za mazao makuu ya chakula zilizotolewa na Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, maharage yanauzwa kwa bei ya chini katika mikoa ya Rukwa, Iringa na Dodoma. Wakazi wa mikoa hiyo wananunua maharage kwa Sh180,000. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
21 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
21 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Nukta TV

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Nukta TV

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Nukta TV