Zingatia haya unapotengeneza barakoa yako mwenyewe

December 17, 2021 12:34 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Unatakiwa kutumia kitambaa sahihi kwani siyo kila kitambaa kitakulinda dhidi ya kirusi cha Corona.

Dar es Salaam. Buku buku za kulipa kila siku kununua barakoa kila siku huenda zimekuchosha. Na kununua barakoa huenda ikawa ni shida kutokana na kusahau au kutokuridhika na vitambaa vinavyotumika.

Uzuri ni kuwa, kutengeneza barakoa inahitaji ujuzi kidogo wa usonaji na unaweza kutengeneza barakoa yako hata kwa kutumia sindano ya mkono.

Kabla haujaamua kukaa mezani na kutengeneza barakoa yako, fahamu kuwa siyo vitambaa vyote vinafaa na siyo ilimradi umefunika mdomo na pua. 

Inaenda mbali zaidi na kuhakikisha kuwa barakoa hiyo ikutoshe na malighafi uliyotumia hayawezi kuruhusu virusi vipite.

Utumie malighafi gani? Ni pamoja na kitambaa kilichotengenezwa kwa malighafi ya pamba badala ya malighafi yanayovutika.

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
16 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
16 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Sio nyama na matunda tu, Wahadzabe sasa wanakula ugali

Nukta TV

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Haya ndio mambo waajiri huangalia kipindi cha probation

Nukta TV

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nyumba nafuu Dar zinavyowasukuma wakazi kwenye maeneo hatarishi

Nukta TV