Zawadi za kumpatia umpendaye wakati wa janga la Corona

March 30, 2021 1:36 pm · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Unaweza kumnunulia bidhaa za kupambana na ugonjwa wa Corona

Dar es Salaam. Kumpatia mtu zawadi ni sehemu ya kuonyesha upendo wako kwake. 

Katika kipindi cha Corona ambacho huenda mipaka ya nchi inakufanya uwe mbali naye, kuzuiliwa kwa mikusanyiko kunakufanya ushindwe kuhudhuria sehemu za kujivinjari, bado tumaini la kuonyesha upendo lipo.

Waswahili husema afya ni mtaji na pia ni bora kuliko mali hivyo huenda ukaanza kuchukulia afya ya umpandaye kama jambo la msingi na muhimu.

Kutokana na shughuli mbalimbali za kazi kuendelea, umpendaye anasahau kuchukua tahadhari za kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 anapokuwa kazini na sehemu zingine anazochangamana na watu.

Hata hivyo, kumpatia zawadi zinazoweza kumsaidia kujikinga na ugonjwa huo inaweza ikawa ni sehemu ya wewe kuonyesha upendo wako kwake. 

Ni zawadi gani unazoweza kumpatia? Tazama video kujifunza zaidi.

                   

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
29 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
29 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV