Yaliyomo mwongozo mpya kwa wasafiri Tanzania

December 31, 2021 4:52 am · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Hadi kufikia Desemba 30, visa vya Uviko-19 vimefikia milioni 228.8 kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani. Kutokana na kuongezeka kwa visa vya Uviko-19 duniani, Serikali ya Tanzania imetoa mwongozo awamu ya tisa kwa wasafiri wanaoingia nchini.

Mwongozo huo uliotolewa Desemba 24 mwaka huu unatoa maelekezo mbalimbali ikiwemo ujazaji wa fomu za taarifa za kiafya kwa wasafiri, ambazo zinapatikana tovuti za Wizara ya Afya Tanzania bara na Zanzibar.

Infografia ifuatayo inaeleza zaidi:

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
4 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
4 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

🔴 LIVE: WABUNGE WAKIMCHAPA MASWALI MAZITO WAZIRI MKUU BUNGENI

Nukta TV

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

TANTRADE: Tumieni vifungashio vya "Made in Tanzania"

Nukta TV

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta Africa ndani ya Africa Agri Expo 2026

Nukta TV