Waandishi Nukta Africa vinara tuzo za umahiri wa habari Tanzania

September 10, 2021 2:17 pm · TULINAGWE ALSON
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni Rodgers George na Daniel Samson
  • Tuzo hizo zinatolewa na Baraza la habari Tanzania (MCT)

Dar es Salaam. Waandishi wa habari wa kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa, Rodgers George na Daniel Samson wametangazwa kuwa miongoni mwa washindi wa tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) kwa mwaka 2020 .

Rodgers George ameshinda tuzo ya uandishi wa habari ya takwimu katika upande wa habari za mtandaoni huku Daniel Samson akishinda tuzo za elimu kwa upande wa habari za mtandaoni.

Tuzo hizo ambazo hutolewa na Baraza la habari Tanzania (MCT),  zinaendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV