Viwango vya kubadili fedha Tanzania Oktoba 1, 2025
October 1, 2025 8:57 am ·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Oktoba 1, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
2 days ago
·
Fatuma Hussein
Viwango vya kubadilisha fedha Tanzania Mei 8
3 days ago
·
Fatuma Hussein
Shilingi tulivu dhidi ya Dola ya Marekani Mei 7, 2026
4 days ago
·
Fatuma Hussein
Bei ya petroli,dizeli yapaa Serikali ikiweka ruzuku ya Sh259
6 days ago
·
Fatuma Hussein
Watatu wafariki katika mlipuko wa ‘hantavirus’ ndani ya meli ya kitalii