Viwango vya kubadili fedha Disemba 5, 2025
December 5, 2025 9:41 am ·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni dhidi ya Shilingi ya Tanzania kutoka Benki za CRDB na NMB unavyoweza kutumia katika shughuli zako za biashara leo Disemba 5, 2025.
Viwango hivi, vinavyotarajiwa kubadilika kutokana na mwenendo wa soko wa kila siku, husaidia watumiaji wa sarafu za kigeni kufanya manunuzi ikiwemo kuingiza bidhaa kutoka nje ya nchi.

Latest
2 hours ago
·
Lucy Samson
Hizi ndio nchi 5 zenye idadi kubwa ya Simba Afrika
22 hours ago
·
Lucy Samson
Tanzania mwenyeji mkutano wa mabunge duniani 2026
2 days ago
·
Fatuma Hussein
DCEA yataifisha mali za Sh 3.3 bilioni za watuhumiwa biashara dawa za kulevya
2 days ago
·
Kelvin Makwinya
Bei ya dizeli yapanda, petroli yashuka kidogo mwezi Disemba