Rasmi: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania

March 19, 2021 6:30 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Dar es Salaam. Samia Suluhu Hassan ameapa rasmi na kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa ndiyo mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Mama Samia (61) anachukua wadhifa huo baada ya Rais John Magufuli kufariki dunia Machi 17 mwaka huu katika hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam kutokana na maradhi ya moyo.

Mwanasiasa huyo ameapishwa Saa 4:14 katika Ikulu ya Dar es Salaam.

Kwa undani, fuatilia hapa wakati wa shughuli ya kuapishwa Ikulu

                         

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV