Muda sahihi wa kunawa, kutakasa mikono

December 13, 2021 9:29 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Inashauriwa kunawa mikono kila baada ya kushika sehemu isiyo salama.
  • Pia, nawa mikono unapokwenda au unapotoka kwenye mikusanyiko.

Dar es Salaam. Kabla ya ugonjwa wa Uviko-19, huenda kunawa mikono kwa baadhi ya watu ilikuwa kabla na baada ya kula, kujisaidia au pale mtu anaposhika kitu kichafu.

Ujio wa ugonjwa huo umeongeza umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka au kujitakasa kwa kutumia vitakasa mikono.

Unafahamu muda sahihi wa kunawa mikono yako? 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
6 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
6 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Fahamu kuhusu 'BIPOLAR' | Ugonjwa hatari unaoathiri na kubadili hisia

Nukta TV

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Je, ’BIPOLAR’ ina uhusiano na kupenda kufanya tendo la ndoa zaidi?

Nukta TV

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Hii ndio sababu uhusiano wa kimapenzi ni marufuku makazini

Nukta TV