Matokeo kidato cha sita 2022 haya hapa

July 5, 2022 9:15 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link
  • Matokeo hayo yametangazwa na Necta) leo  Julai 5, 2022.

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na ualimu kwa mwaka 2022 .

Matokeo hayo yametangazwa na Necta leo  Julai 5, 2022.

Kupata matokeo ya kidato cha sita bonyeza hapa 

Endelea kutufuatilia ili kupata habari zaidi kuhusu matokeo hayo.

Enable Notifications OK No thanks