Matokeo kidato cha sita mwaka 2021 haya hapa

July 10, 2021 12:22 pm · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetoa matokeo ya mitihani ya kidato cha ita na ualimu iliyofanyika Mei 2021. 

Kupata matokeo ya kidato cha sita bonyeza hapa.

Endelea kutufuatilia ili kufahamu wanafunzi, shule na mikoa iliyofanya vizuri na kushika mkia kitaifa.

Enable Notifications OK No thanks