Necta yatangaza matokeo kidato cha sita 2023
July 13, 2023 9:27 am ·
Mwandishi
Dar es Salaaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha sita kwa mwaka 2023 huku ufaulu ukiongezeka kidogo kwa asilimia 0.03 kutoka ule wa mwaka 2022.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi.
Latest
14 hours ago
·
Fatuma Hussein
Wizara ya Mifugo na Uvuvi yaomba bajeti ya Sh476.65 2025/26

1 day ago
·
Fatuma Hussein
Tumia viwango hivi kubadili fedha za kigeni Mei 23, 2025

4 days ago
·
Kelvin Makwinya
Polisi yawasaka wadukuzi baada ya kuzua taharuki mtandaoni

4 days ago
·
Fatuma Hussein
Wizara ya Ulinzi Tanzania kutumia Sh3.6 trilioni 2025/26