Kila baada ya dakika tatu, msichana mmoja anaambukizwa VVU

August 11, 2022 8:29 am · Lucy Samson
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni wasichana wa umri wa miaka 15 hadi 24 wanaoishi Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Dar es Salaam. Wakati dunia ikiendelea na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi, nguvu kubwa ielekezwe kuwalinda wasichana ambao wamekuwa wahanga wa ugonjwa huo.

Kwa mujibu wa ripoti ya masuala ya Ukimwi duniani ya mwaka 2022 inayotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Ukimwi Duniani (UNAIDS), wanawake na wasichana wapo hatarini kupata maambukizi ya VVU kuliko wenzao wa kiume.

“Kila dakika tatu (wasichana) wana uwezekano wa kupata VVU mara tatu zaidi ya vijana wa kiume wa rika moja Kusini mwa Jangwa la Sahara,” imesema ripoti hiyo. 

Ripoti hiyo imeshauri wadau wa masuala ya afya kuongeza kasi ya kuwafikia wasichana kwa elimu sahihi ya masuala ya uzazi na namna wanavyoweza kujikinga wasipate ugonjwa huo.

Hatua hiyo itasaidia wasichana kutimiza ndoto zao ikiwemo kujikwamua kiuchumi na kielimu. 

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
25 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV