Dola, Euro na Pauni zaendelea kuimarika dhidi ya Shilingi Mei 28, 2026

May 28, 2026 8:39 am · Fatuma Hussein
Share
Tweet
Copy Link
  • Dola ya Marekani (USD) kupitia Benki ya CRDB imenunuliwa kwa Sh2,585 na kuuzwa kwa Sh2,665.

Sarafu kuu za kimataifa zimeendelea kuonyesha nguvu dhidi ya Shilingi ya Tanzania leo Mei 28, 2026 ukilinganisha na Hali ilivyo kuwa katika wiki zilizopita.

Viwango vya ubadilishaji fedha kutoka Benki za CRDB na NMB  vinaonesha kupanda kwa sarafu hizo ikiwemo Dola ya Marekani, Euro pamoja na Pauni ya Uingereza.

Katika viwango vya leo, Dola ya Marekani (USD) kupitia Benki ya CRDB imenunuliwa kwa Sh2,585 na kuuzwa kwa Sh2,665, huku kupitia Benki ya NMB ikinumuliwa kwa Sh2,583 na kuuzwa kwa Sh2,663.

Mwenendo wa leo unaonyesha kuwa mahitaji ya sarafu za kigeni yanaendelea kuongezeka katika soko la ndani, hali inayoweza kuathiri gharama za biashara za kimataifa, usafirishaji wa bidhaa kutoka nje pamoja na huduma zinazotumia fedha za kigeni.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Oct, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Oct, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

BoT yauza tani 5 za dhahabu kuongeza fedha za kigeni

Nukta TV

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

BoT: Vita Mashariki ya Kati vyaathiri bei ya mafuta na mbolea, soko la dunia

Nukta TV

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

BoT yashikilia CBR 6.25% kudhibiti mfumuko wa bei

Nukta TV