Jiko Point
All
Afya Na Maisha
Biashara
Mapishi
Matukio
Maujanja
Nishati Safi
Vinywaji

Afya na Maisha · March 17, 2026 9:34 am

Vyakula vya kuepuka kujilinda na ugonjwa wa figo

Figo hufanya kazi ya kusafisha damu na kudhibiti maji na madini mwilini, na ulaji wa vyakula visivyofaa unaweza kuathiri utendaji kazi wake.

Afya na Maisha · December 5, 2025 9:58 am

Fahamu faida ya viazi vyekundu (beetroot) kiafya

Viazi vyekundu, vinavyojulikana kitaalamu kama beetroot ni miongoni mwa vyakula vyenye virutubisho muhimu sana kwa mwili.

Afya na Maisha · November 28, 2025 5:12 pm

Vyakula vitano vya kuimarisha ubongo wa mtoto chini ya miaka miwili

Upungufu wa lishe katika miaka miwili ya mwanzoni inaweza kuathiri utendaji wa ubongo kwa maisha yote.

Afya na Maisha · November 8, 2025 12:59 pm

Fahamu aina za parachichi

Kwa mujibu wa TARI kuna aina mbili za parachichi ambazo ni parachichi za asili na parachichi za kisasa/ chotara.

Afya na Maisha · September 30, 2025 5:19 pm

TBS: Mbogamboga hazina mabaki ya sumu, viuatilifu

TBS imesema imechunguza aina mbalimbali za mbogamboga na kubani kuwa hazina mabaki  ya viwatilifu kama ilivyoripotiwa hivi karibuni.

Afya na Maisha · September 23, 2025 7:01 pm

Kanuni za kuzingatia unapo andaaa unga wa lishe kwa mtoto

Unga huu huandaliwa kwa kuchanganya nafaka na jamii ya mikunde ili kutoa mlo kamili na wenye virutubisho muhimu vinavyohitajika mwilini.

Afya na Maisha · September 11, 2025 2:38 pm

Hatua za kumuanzishia mtoto wa miezi sita chakula cha ziada

Hatua hizo zimegawanyika katika wiki tatu ambapo mtoto hupewa vijiko viwili hadi vitatu wiki ya kwanza na kuongezewa kadri siku zinavyoongezeka.

Afya na Maisha · August 25, 2025 6:47 pm

Fahamu umuhimu wa kula matunda na maganda yake

Matunda ni sehemu muhimu ya lishe, yakiwawezesha makundi mbalimbali ya watu kuimarisha afya zao kupitia vitamini, madini na nyuzi lishe zinazostawisha mwili. Ili kupata faida hizo, wataalamu wa afya hushauri kuosha matunda kwa maji safi, kumenya na kuyala kwa viwango vinavyotakiwa, lakini je unafahamu kuwa hata maganda ya matunda yanafaida mwilini? Pendo Majengo, Afisa Lishe  […]

Afya na Maisha · August 19, 2025 7:22 pm

Fahamu faida za unywaji wa kahawa

Kahawa ni miongoni mwa vinywaji maarufu duniani huku kikiwa na historia pana inayorithishwa enzi na enzi. Bodi ya Kahawa Tanzania ( TCB), inabainisha kuwa Tanzania  inazalisha aina mbili za kahawa ambazo ni Arabika pamoja na Robusta zinazochangia wastani wa asilimia 60.9  na 39.1 ya uzalishaji wa kahawa nchini hatua inayotajwa kuchangia ongezeko la wanywaji wa […]

Afya na Maisha · August 14, 2025 9:25 pm

Jinsi ya kutengeneza juisi ya nanasi na tango

Ukiachana na ladha ya kinywaji hiki kinachofurahisha koo hutumiwa pia kuondoa sumu mwilini (detox).

Afya na Maisha · August 7, 2025 12:21 pm

Fahamu umuhimu wa kutumia mafuta ya nazi katika mapishi

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa matumizi ya mafuta haya katika mapishi huwa na faida nyingi za kiafya ikiwemo kuimarisha afya ya moyo.

Afya na Maisha · July 29, 2025 6:02 pm

Fahamu matumizi sahihi ya mlonge katika lishe

Sehemu muhimu za mmea huu ambazo ziinaweza kutumiwa katika lishe na kuimarisha afya ni pamoja na majani, maua, mbegu na mizizi.

Afya na Maisha · July 24, 2025 7:13 pm

Ufahamu mlonge na faida yake

Aidha, mlonge una sifa ya kuwa na vioksidishaji (antioxidants) vinavyosaidia kupambana na sumu mwilini na kuimarisha kinga ya mwili.

Afya na Maisha · February 26, 2025 12:29 pm

Fahamu aina za mchele na mapishi yake

Jiko point imekusogezea aina za mchele unazoweza kutumia kuandaa mapishi mbalimbali iwe nyumbani au katika sherehe.

Afya na Maisha · February 18, 2025 6:50 pm

Fahamu faida za ulaji wa brokoli

Ni pamoja na kuzuia ugonjwa wa moyo na kuimarisha afya ya mifupa kulingana na uwepo wa nyuzi nyuzi na vitamini.

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

Nukta TV

FAHAMU IDADI YA WATANZANIA WALIOOZA MENO

FAHAMU IDADI YA WATANZANIA WALIOOZA MENO

Nukta TV

"OKTOBA 29 IMTUPA FUNZO" RAIS SAMIA

"OKTOBA 29 IMTUPA FUNZO" RAIS SAMIA

Nukta TV