Zingatia haya unapotumia barakoa ya kitambaa

March 1, 2021 3:55 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na kuwa makini na kitambaa kilichotumika pamoja na kupata barakoa inayofunika kwa ufanisi sehemu yamdomo na pua.

Dar es Salaam. Wataalamu wa afya na viongozi mbalimbali wameendelea kusisitiza juu ya matumizi ya barakoa kama mojawapo ya njia ya kupambana na ugonjwa wa Corona.

Kati ya barakoa zinazoshauriwa ni pamoja na zile zilizotengenezwa kwa kitambaa ili kupunguza gharama na ulazima wa kununua mara kwa mara barakoa ambazo hazidumu muda mrefu.

Hata hivyo, siyo kila kitambaa kinafaa kutumika kama malighafi ya kutengeneza barakoa. Uzingatie nini ili upate barakoa sahihi? Tazama video hii kufahamu zaidi.

                          

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
13 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
13 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

🔴LIVE: HII HAPA BAJETI KUU YA SERIKALI 2026/2027

Nukta TV

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Mashine za kukaushia rangi za kucha kutozwa ushuru kwa asilimia 10

Nukta TV

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Wazee wa 'kubet' hii inawahusu, 5% kutozwa kwenye dau la kamari

Nukta TV