VIDEO: Ufanye nini unaposafiri nje ya nchi wakati wa Corona?

November 24, 2020 7:11 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kabla ya kusafiri kuelekea nje ya nchi, ni muhimu kufahamu kuwa baadhi ya nchi bado zina maambukizi makubwa ya ugonjwa wa Covid-19 hivyo inakupasa uchukue tahadhari.

Endapo unampango wa kusafiri kuelekea nchi yeyotehivi karibuni, hakikisha unauelewa wa hatua za kuchukua dhidi ya ugonjwa wa Covid-19 na zaidi mbinu za kuepukana na kupata maambukizi ya ugonjwa huo. Tazama video hii kuelewa zaidi.

/
No matches found for this filter
30 May, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
30 May, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
30 May, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
AKILI UNDE INAVYOIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA KINYWA NA MENO

AKILI UNDE INAVYOIMARISHA HUDUMA ZA AFYA YA KINYWA NA MENO

Nukta TV

WAFAHAMU 'THE BIG FIVE' WA AFRIKA

WAFAHAMU 'THE BIG FIVE' WA AFRIKA

Nukta TV

HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

HIVI NDIVYO UNAWEZA KUSAFISHA MENO YAKO

Nukta TV