Zingatia haya kabla ya kuchagua rangi ya nyumba yako

November 25, 2020 6:18 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Kuwa na uhakika juu ya gharama utakazozitumia katika mchakato mzima.
  • Angalia umri wa wanafamilia na tabia zao ili kujiepusha na gharama ya kupaka rangi mara kwa mara.

Dar es Salaam. Kuna mambo mengi ya kuangalia wakati unachagua rangi kwa ajili ya nyumba yako ili kuiweka katika hadhi inayostahili. Hii ni kwa sababu rangi ni moja ya vitu vinavyoonyesha bayana unadhifu wa nyumba yako.

Mambo hayo ni pamoja na aina ya familia uliyo nayo na umri wa watu unaoishi nao. Mathalani, endapo una familia yenye watoto wengi kupaka rangi nyeupe nyumbani kwako inaweza isiwe busara kwa kuwa ukuta ni kati ya sehemu ambazo watoto hushika mara kwa mara na kuuchafua. 

Jambo jingine muhimu ni huhakikisha kuwa uchaguzi wa rangi kwa ajili ya nyumba yako unaendana na uzito wa pochi yako ama kwa lugha rahisi kipato chako kwa kuwa zipo baadhi ya rangi ambazo ni gharama sana kiasi cha kuwa chaguo la matajiri. 

Ni vema kuzungumza na wataalamu wakupatie ushauri wa kupata rangi bora iliyo ndani ya bajeti yako.

Tazama video hii kuyafahamu kwa undani.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
15 Jun, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
15 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
15 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwenendo wa deni la serikali

Mwenendo wa deni la serikali

Nukta TV

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Rais Samia: Uchumi wa nchi unapanda , lakini ukifika kwa watu hali si nzuri

Nukta TV

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Gavana Tutuba afichua kiasi cha dhahabu kilichopo BoT thamani yake

Nukta TV