Waandishi Nukta Africa vinara tuzo za umahiri wa habari Tanzania
September 10, 2021 2:17 pm ·
TULINAGWE ALSON
- Ni Rodgers George na Daniel Samson
- Tuzo hizo zinatolewa na Baraza la habari Tanzania (MCT)
Dar es Salaam. Waandishi wa habari wa kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa, Rodgers George na Daniel Samson wametangazwa kuwa miongoni mwa washindi wa tuzo za umahiri wa uandishi wa habari Tanzania (EJAT) kwa mwaka 2020 .
Rodgers George ameshinda tuzo ya uandishi wa habari ya takwimu katika upande wa habari za mtandaoni huku Daniel Samson akishinda tuzo za elimu kwa upande wa habari za mtandaoni.
Tuzo hizo ambazo hutolewa na Baraza la habari Tanzania (MCT), zinaendelea katika ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Latest
7 days ago
·
Lucy Samson
Vita ya Mashariki ya Kati yazidi kupaisha bei ya petroli, dizeli Tanzania
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Viwango vya kubadili fedha Machi 31, 2026
1 week ago
·
Lucy Samson
ATCL yaripoti hasara ya Sh191.1 bilioni, CAG aanika sababu
1 week ago
·
Kelvin Makwinya
Rais Samia apokea ripoti CAG, TAKUKURU na PPRA aagiza utekelezaji wa haraka
