Hali ya ugonjwa wa Uviko-19 Barani Afrika

September 13, 2021 1:42 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Janga la Uviko 19 limeendelea kutikisa dunia licha ya juhudi mbalimbali za kudhibiti ugonjwa huo ikiwemo utoaji wa chanjo.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) hadi kufikia Septemba 13, 2021 visa vya ugonjwa huo vimefikia milioni 224.4 duniani.

Bara la Afrika lina jumla ya visamilioni 5.8 vya ugonjwa huo na vifo 140,010.

Afrika k​​​​usini ndiyo nchi inayoongoza kwa maambukizi ya Uviko 19 kwa barani Afrika, huku ikifikisha jumla ya visa milioni 2.8  

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW