Nchi 5 zinazoongoza kwa maambukizi ya Uviko-19 Afrika

October 3, 2022 5:38 am · Nuzulack Dausen
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Licha ya hatua mbalimbali kuchukuliwa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 ikiwemo utoaji wa chanjo, ugonjwa huo bado upo na unaendelea kuua watu. 

Nchi ya Afrika Kusini kwa mujibu wa takwimu za Septemba 28, 2022 zilizotolewa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ndiyo inaongoza kwa maamukizi ya kiwango cha juu barani Afrika.

​WHO inaeleza kuwa hadi jana, watu milioni 4.02 walikuwa wameambukizwa Uviko-19 huku 102,169 wakifariki dunia.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
26 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
26 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Lissu: Serikali haikutishwa, hivyo hakuna kosa la uhaini

Nukta TV

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Ratiba rasmi mitihani ya darasa la nne, saba na kidato cha pili na nne 2026.

Nukta TV

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Wanu ataja changamoto sita, ratiba ya mitihani ya taifa yabadilika

Nukta TV