Yakuzingatiwa kwa watumiaji wa pombe wakati wa Uviko-19

October 27, 2021 12:04 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es salaam. Wakati mapambano ya Uviko-19 yakiendelea ni muhimu kwa watumiaji wa pombe kuzingatia mambo mbalimbali ya kiafya ili kutojiweka katika hatari ya kuambukizwa ugonjwa huo.

Mambo hayo ni pamoja na kuepuka unywaji wa pombe uliokithiri kwani pombe inaweza kusababisha kutofikiri vizuri hivyo kupunguza umakini wa kuchukua tahadhari dhidi ya Uviko-19.

Vile vile inashauriwa  kutokunywa  pombe saa nne hadi nane kabla na baada ya kuchanja chanjo ya Uviko-19.

Ikumbukwe kuwa  unywaji wa pombe hauui wala hauupatii mwilikinga dhidi ya virusi vya Uviko-19.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
21 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
21 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Mwanzo mwisho mapokezi ya Rais wa Namibia Netumbo Nandi Ikulu Dar es Salaam

Nukta TV

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Sikia kisa cha bibi wa Mbagala, chanzo Jaji Mkuu Masaju kupanda cheo

Nukta TV

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

FAHAMU KUHUSU SIKOSELI | Part 1: Ugonjwa wa kurithi, unaotesa maelfu ya watoto Tanzania

Nukta TV