Mgawo fedha za IMF kupambana na Uviko-19 sekta ya maji Arusha

November 11, 2021 6:42 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Shirika la Fedha Duniani (IMF) liliipatia Tanzania mkopo wa dharura wa Dola za Marekani milioni 567.25 (Sh1.3 trilioni) kwa ajili ya kukabiliana na athari za ugonjwa wa Corona (Uviko-19).

Taarifa ya IMF iliyotolewa Septemba 7 mwaka huu ilisema bodi ya shirika hilo imeidhinisha kutolewa kwa kiasi hicho cha fedha ambapo kitaisaidia Tanzania katika kuhimili mahitaji yatokanayo na janga la Uviko-19.

IMF ilieleza kuwa uchumi wa Tanzania ulitikisika  kutokana na athari za Uviko-19, hivyo msaada wa kifedha ni muhimu kuurejesha katika hali ya kawaida.

Kati ya fedha hizo, Wizara ya Maji alipewa Sh139.4 ili kutekeleza miradi 218 katika Halmashauri mbalimbali ili kuboresha miundombinu ya maji ili kuwapunguzia wananchi makali ya Uviko-19 katika sekta ya maji. Baadhi ya miradi hiyo utaipata katika infografia hii.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
19 Jun, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
19 Jun, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Siku ya Familia, Mtoto wa Afrika kuadhimishwa Juni 30, 2026

Nukta TV

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Wadau wa 'kubet" watoa ya moyoni, pendekezo kupanda kwa tozo 5%

Nukta TV

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Wasemayo wananchi, vocha za kukwangua kupigwa maruku mijini

Nukta TV