Mgao fedha za IMF unavyoinufaisha sekta ya maji Geita

November 15, 2021 12:41 pm · Herimina
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Shirika la Fedha Duniani (IMF) liliipatia Tanzania mkopo wa dharura wa Dola za Marekani milioni 567.25 (Sh1.3 trilioni) kwa ajili ya kukabiliana na athari za ugonjwa wa Corona (Uviko-19).

Taarifa ya IMF iliyotolewa Septemba 7 mwaka huu ilisema bodi ya shirika hilo imeidhinisha kutolewa kwa kiasi hicho cha fedha ambapo kitaisaidia Tanzania katika kuhimili mahitaji yatokanayo na janga la Uviko-19.

IMF ilieleza kuwa uchumi wa Tanzania ulitikisika  kutokana na athari za Uviko-19, hivyo msaada wa kifedha ni muhimu kuurejesha katika hali ya kawaida.

Kati ya fedha hizo, Wizara ya Maji alipewa Sh139.4 bilioni ili kutekeleza miradi 218 katika Halmashauri mbalimbali ili kuboresha miundombinu ya maji ili kuwapunguzia wananchi makali ya Uviko-19 katika sekta ya
maji.

Kati ya fedha hizo Mkoa wa Geita umepata Sh2.52 bilioni kutekeleza miradi sita kama inavyoonekana katika infografia hii.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
7 Aug, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
7 Aug, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Sh10,000 sasa kununua lita 2.57 za petroli, lita 2.51 za dizeli mwezi Agosti

Sh10,000 sasa kununua lita 2.57 za petroli, lita 2.51 za dizeli mwezi Agosti

Nukta TV

NISHATI

NISHATI

Nukta TV

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Utani wa Rais Samia kwa wachimba madini wa Katoro

Nukta TV