Mwenendo wa ugonjwa wa Uviko-19 Tanzania

December 6, 2021 8:55 am · Daniel Samson
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Hadi sasa Watanzania 730 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa Uviko-19 sawa na asilimia 2.7 ya watu walioripotiwa kupata maambukizi ya ugonjwa huo.

Hadi Desemba 6, 2021, watu 26,270 walikuwa wameambikizwa Uviko-19 tangu ulipoingia nchini Machi 2021.

Kufahamu zaidi, tazama infografia hii: 

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW