Ujumbe wa Rais Samia kwa Watanzania mwaka 2023

December 26, 2022 7:31 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Mbali na Rais Samia Suluhu Hassan kuwataka Watanzania kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka kwa amani na utulivu pia amewataka kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na weledi watakapoingia mwaka 2023 ili nchi iendelee kupiga hatua mbele.

Rais Samia ametoa ujumbe huo wa heri kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter wakati wakristo nchini wanaungana na wengine duniani kuadhimisha sikukuu ya Krismas ya kuzaliwa kwa Yesu.

“Nawatakia Watanzania wote kheri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tumpe Mwenyezi Mungu shukrani kwa kutufikisha salama wakati huu wa mwaka,” amesema Rais.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
25 Sep, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
25 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
25 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Lissu alivyotumia saa tisa kujitete mahakamani, aibua hoja tatu nzito

Lissu alivyotumia saa tisa kujitete mahakamani, aibua hoja tatu nzito

Nukta TV

Walimbwende ‘Miss World’, kupewa makabila Tanzania kuwakilisha kimataifa

Walimbwende ‘Miss World’, kupewa makabila Tanzania kuwakilisha kimataifa

Nukta TV

Makonda: Jezi ya Taifa Stars mbaya, hangaikeni  iwe nzuri

Makonda: Jezi ya Taifa Stars mbaya, hangaikeni iwe nzuri

Nukta TV