Muda sahihi wa kunawa, kutakasa mikono
December 13, 2021 9:29 am ·
Rodgers Raphael
- Inashauriwa kunawa mikono kila baada ya kushika sehemu isiyo salama.
- Pia, nawa mikono unapokwenda au unapotoka kwenye mikusanyiko.
Dar es Salaam. Kabla ya ugonjwa wa Uviko-19, huenda kunawa mikono kwa baadhi ya watu ilikuwa kabla na baada ya kula, kujisaidia au pale mtu anaposhika kitu kichafu.
Ujio wa ugonjwa huo umeongeza umuhimu wa kunawa mikono kwa sabuni na maji safi yanayotiririka au kujitakasa kwa kutumia vitakasa mikono.
Unafahamu muda sahihi wa kunawa mikono yako?Â