Kitaeleweka: Waraghbishi waingilia kati wananchi kushiriki mikutano ya vijiji

April 30, 2022 9:06 am · Mwandishi
Share
Tweet
Copy Link

Pangani. Miaka ya nyuma, mahudhurio katika mikutano ya maendeleo ya vijiji vya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga yalikuwa hafifu, lakini baada ya waraghbishi kutoa hamasa kwa wananchi mambo yamebadilika.

Sasa mikutano hiyo inahudhuriwa kwa wingi huku wanaume kwa wanawake wakipata fursa ya kutoa maoni kuhusu maendeleo yao. Pia imekuwa njia nzuri ya kuibua na kutatua kero zao.

                       

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
26 Jul, 2026 · TZS
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
27 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
27 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Hizi ndio passport 5 zenye nguvu zaidi duniani

Nukta TV

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Hii ndio spirulina: Hazina ya maji inayoboresha afya za Watanzania

Nukta TV

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Mradi wa Sh4.6 bilioni kutoa ahueni ya umeme Lindi, Mtwara

Nukta TV