Zingatia haya unapochagua jina, nembo ya kampuni

February 11, 2021 7:26 am · Rodgers Raphael
Share
Tweet
Copy Link
  • Ni pamoja na urahisi wajina ili iwe rahisi kwa wateja wako kulikumbuka.

Dar es Salaam. Katika biashara na huduma zote zinazotolewa na makampuni mbalimbali, jina na nembo au alama ya kampuni ni kitu muhimu katika kuvutia wateja na hata kukumbuka huduma zake.

Mfano urahisi wa kutamka jina, rangi, nembo nzuri na kadhalika ni kati ya vitu ambavyo humkumbusha mteja juu ya huduma yako na hata bidhaa unazojihusisha nazo.

Ufanye nini ili kuwa na nembo ya kampuni pamoja na jina litakalokubalika kwa uharaka? Tazama video hii kujua zaidi.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
20 Sep, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
20 Sep, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Wakazi wa mabondeni Dar walivyojiandaa kukabiliana na ‘El Nino’

Nukta TV

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Wakazi Kigogo wahofia ‘El Niño’, walia mchepuo wa daraja uondolewe

Nukta TV

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Ufahamu 'BIPOLAR' Part 2 | Ugonjwa wa afya ya akili unaoweza kupelekea kifo

Nukta TV