Wapi unaweza kupata chanjo ya Uviko-19 ukiwa Morogoro?

August 20, 2021 8:56 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Kama uko katika Mkoa wa Morogoro iwe mjini au vijijini na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 26 katika Halmashauri zote tisa za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Follow Us on TikTok

FOLLOW NOW

Subscribe to Our YouTube Channel

SUBSCRIBE NOW