Vituo 27 vinavyotoa chanjo ya Uviko-19 mkoani Mtwara

August 21, 2021 6:13 am · Clifford
Share
Tweet
Copy Link

Dar es Salaam. Wewe ni miongoni mwa watu ambao wana mpango wa kupata chanjo lakini hujui ni wapi utachanjwa? Kama uko katika Mkoa wa Mtwara iwe mjini au vijijini na una sifa za kupata chanjo ya Corona, Serikali imeweka vituo 27 katika Halmashauri zote tisa za mkoa huo ili kutoa fursa kwa watu kuchanjwa.

Nenda kachanje ili uwe salama. Kumbuka chanjo husaidia kumkinga mtu na maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19. Kwa sasa, Tanzania inatumia chanjo aina ya Johnson & Johnson ambayo mtu anayechanjwa anapatiwa dozi moja tu.

Masoko & Zaidi
Loading…
No recent matches
No upcoming matches
/
No matches found for this filter
No forex gainers today
No forex losers today
Forex rates unavailable
5 Jul, 2026 · TZS
No gainers today
No losers today
5 Jul, 2026
No active movers today

Inaendeshwa na Nukta AI

Follow us on TikTok

Nukta Habari

FOLLOW NOW
Subscribe to our channel

Nukta TV

SUBSCRIBE NOW
MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

MFUMUKO WA BEI kuendelea kuwa mdogo licha ya gharama za mafuta

Nukta TV

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Hali ya uchumi Tanzania: Makadirio ya ukuaji wa uchumi Bara 6%, Zanzibar 6.6%

Nukta TV

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

BoT: Yatangaza ongezeko la riba ya Benki kuu hadi 6.25%

Nukta TV